Share

Sokwe wa milimani waongezeka Rwanda

Share This:

Nchini Rwanda Watalii hulipa kiasi cha euro 1500 kuwaona sokwe wa milimani ambao sasa wameongezeka na kufikia 1000. Awali walikuwa hatarini kupotea.

Leave a Comment