Share

Sosy: Fumba Macho mpenzi nisiibiwe/ Macho yanafanya tuchepuke!

Share This:

Msanii wa muziki, Sosy ambaye yupo chini ya Bengaz Entertainment amefunguka kuuzungumzia wimbo wake mpya, Funga Macho ambapo amedai wimbo huo alikuwa anamtaka mpenzi wake kuachana na tamaa za dunia.

Leave a Comment