Share

Spika mstaafu wa Tanzania Samuel Sitta afariki

Share This:

Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samuel Sitta afariki nchini Ujerumani, FBI yamsafisha Hillary Clinton dhidi ya tuhuma za matumizi ya barua pepe, Rais wa Uturuki apuuza ukosoaji wa mataifa ya magharibi juu ya kukamatwa kwa wabunge wa upinzani. Papo kwa Papo 07.11.2016

Leave a Comment