Share

SportPesa waguswa na msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe

Share This:

Mkurugenzi wa SportPesa Tanzania, Abbas Tarimba alikuwa ni mmoja kati ya wadau wa soka waliojitokeza kwenye ibada ya mwisho ya kuaga mwili wa marehemu mke wa Waziri Mwakyembe, Linah Mwakyembe aliyefariki wiki iliyopita.

Leave a Comment