Share

SportPesa wameniongezea elimu – Okwi

Share This:

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda na klabu ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi amesema ziara yao ya kwenda katika kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa ambao ndiyo wa dhamani wao wa kuu imemuongezea elimu ya namna ya kujitambua na kujiongezea thamani kama mchezaji.

Leave a Comment