Share

SportPesa wametupa ujanja wa nje ya uwanja – John Bocco

Share This:

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na kikosi cha wekundu wa msimbazi,Simba SC, John Bocco ameeleza namna alivyofurahishwa kwa kufika katika ofisi za wadhamini wao ambao ni kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa na kutumia nafasi hiyo kujifunza vitu ambavyo alikuwa havifahamu kama mchezaji.

Leave a Comment