Share

Sportpesa watoa promosheni ya kushinda mamilioni

Share This:

Kampuni ya Kubashiri ya SportPesa imezindua promosheni ya mtambulishe rafiki ijulikanayo kama RAFIKI BONUS ambapo wateja wa awali watajipatia bonus ya shilingi 2000/= kwa kila mteja mpya atakayemtambulisha kwa ajili ya kujiunga na SportPesa.

Leave a Comment