Share

Steve Nyerere: Mange hajui/ Sisi wasanii ni omba omba watumwa

Share This:

Msanii wa filamu Steve Nyerere kwa mara ya kwanza amefunguka kueleza sababu ya kuonekana kujitokeza zaidi kwenye misiba kuliko wasanii wengine ambapo amedai anafanya hivyo kwa kuwa wasanii hawana kitu.

Leave a Comment