Share

Swali la Proffesor Jay baada ya Mafuriko jimboni kwake

Share This:

Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Professor J ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni leo April 12, 2018 ambapo aliihoji Serikali ni lini lini Serikali itamaliza ujenzi katika bwawa la Kidete, Kilosa ambalo limekuwa likisababisha maafa katika kipindi cha mvua.

Leave a Comment