Share

TAA Yatakiwa Kuhakikisha Viwanja Vinajiendesha Vyenyewe

Share This:

Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania TAA kuhakikisha viwanja vya ndege vilivyo boreshwa vinajitegemea na kujiendesha vyenyewe.

Leave a Comment