Share

TAARIFA KUTOKA TAMISEMI KWA WANAOBADILI VITUO VYA KAZI

Share This:

Naibu katibu mkuu Afya Ofisi ya Rais TAMISEMI dkt. Dorothy Gwajima amewaelekeza makatibu tawala wa mikoa kuchukua namba ya ajira “CHECK NUMBER” kwa waajiliwa wapya wa Afya wanaoripoti kwenye vituo vya kazi na kuomba kubadilishiwa kabla ya miaka mitatu ya utumishi

“Umekuwa mtumishi wa UMMA halafu unazngua Mikoa ni hard to reach wengine wiki moja wanataka wahame basi warudishe check namba waje waombe waombe ajira mwakani ajira zikitoka”Dkt Gwajima

Leave a Comment