Share

Taasisi ya Imam Bukhari yalia na watuhumiwa wa ugaidi kusota maabusu

Share This:

Mwenyekiti wa taasisi ya Imam Bukhari, Sheikh khalifa Khamis ameeleza kwa masikitiko makubwa mambo ambayo amedai wanaendelea kufanyiwa watuhumiwa wa kesi mbalimbali za ugaidi hapa nchini hususani Mashekhi wa Uamsho waliokamatwa Visiwani Zanzibar.

Leave a Comment