Share

Tahadhari mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kuhusu corona

Share This:

Wakaazi wanaoishi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wameelezea wasiwasi wao kuhusu virusi vya corona. Wanadai kuwa njia za vichochoro zinazotumiwa na watu wanaotoka nji nyingine kupitia mpaka huo, pamoja na uelewa mdogo kuhusu corona huweza kusababisha maambukizi. Salma Mkalibala na mengi zaidi. #kurunzi #virusivyacorona

Leave a Comment