Share

Taharuki kwa wagonjwa Uganda kufuatia mgomo wa madaktari

Share This:

-Madaktari nchini Uganda wagoma huku wagonjwa wakiachwa bila huduma.

-Rais Donald Trump awasili China, mzozo wa nyuklia wa Korea Kaskazini ni miongoni mwa ajenda.

-Umoja wa Mataifa wasema wasafirishaji haramu wa watu wawalenga watoto wa Rohingya walio kambini Bangladesh.

Leave a Comment