Share

“Taifa limefimba na kujaa uchungu linataka kupasuka” – Wazee Chadema

Share This:

Baraza la Wazee CHADEMA Taifa, limeomba kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kwa lengo la kujadili na kushauriana masuala mbali mbali yanayohusu Taifa letu ikiwemo masuala ya uchumi, usalama.

Leave a Comment