Share

Taifa Stars Na Rwanda Zatoshana Nguvu

Share This:

Timu ya taifa Taifa stars imetoshana nguvu na timu ya taifa ya Rwanda Amavubi baada ya kufungana bao moja kwa moja kwenye mchezo wao uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Leave a Comment