Share

Taifa Stars yapata mdhamini mpya

Share This:

hirikisho la Soka Tanzania TFF, limeingia mkataba mnono na kampuni ya Bia ya Serengeti {SBL} wenye thamani ya shilingi bilioni 2.1 ambao unaifanya SBL kuwa mdhamini mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).

Leave a Comment