Share

Tajiri huyu awalipia wanafunzi 400 gharama zote za mkopo wa elimu ya juu takriban dola milioni 40.

Share This:

Tajiri mmoja raia wa Marekani, Robert F Smith amewaacha wanafunzi 400 wa chuo kikuu cha Morehouse, kilichopo Atlanta wakitabasamu baada ya kuwalipia gharama zote za mkopo wa elimu ya juu yenye thamani ya takriban dola milioni 40m.

Leave a Comment