Share

Tamasha la BongoMovie: DC Kasesela ajilipua na Singeli!

Share This:

Tamasha la Vijana Amka la wasanii wa filamu nchini limefanikiwa kwa kiasi kikubwa baada ya kuhudhuriwa na watu wengi mkoani humo. Msanii wa muziki wa singeli, Dulla Makabila alikuwa mmoja kati ya wasanii waliofanya vizuri hali iliyomfanya DC wa Iringa, Richard Kasesela kuinuka na kuanza kuonyesha uwezo wake wakucheza singeli.

Leave a Comment