Share

Tamasha la Kanivali la Berlin

Share This:

Kila mwaka katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, huadhimishwa Kanivali ya Utamaduni, ambayo jamii kutoka sehemu mbali mbali duniani zinazoishi nchini Ujerumani huonyesha tamaduni zao. Harrison Mwilima alitembelea tamasha la mwaka huu na kuandaa vidio hii. Kurunzi 13.06.2019.

Leave a Comment