Share

Tamasha la Sauti za Busara 2019 latia fora Zanzibar

Share This:

Tamasha la Sauti za Busara lililoanza Februari 7 mjini Zanzibar lilimalizika Jumapili ya Februari 10, 2019, likisifiwa kuwa la kipekee kwa idadi ya washiriki, na kwa kuwaburudisha mashabiki. Kwa Ujumla wasanii 40 kutoka nchi mbali mbali za Kiafrika walishiriki. Manufaa hayakuwa katika burudani tu, hata wajasiriamali hawakuondoka mikono mitupo. Pata yote katika vidio hii ya kurunzi.

Leave a Comment