Share

‘Tambo za Katibu Mkuu CCM mbele ya Katibu Mkuu CHADEMA, Nimeshinda Buyungu mnasema tumeibaa

Share This:

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akiwa kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Kifo cha Mwalimu Nyerere amesema vyama vyote nui tegemezi na haviendeshwi kwa michango na vyanzo vyake halali hivyo kuwataka vyama kuwafukuza matajiri wanotaka kuleta pesa hilikupanga safu ya madaraka kwenye vyama vya siasa, Pia amesema Kuwa CCM watashinda Chaguzi zinazokuja

Leave a Comment