Share

Tanzania yashauriwa kutumia fursa ya uwenyekiti wa SADC kutekeleza malengo ya kiuchumi .

Share This:

Tanzania imeshauriwa kutumia fursa ya uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) kutekeleza malengo ya kiuchumi kwa kukuza viwanda na kuongeza biashara ya kuuza bidhaa nje zaidi utakaosaidia kupanua wigo wa mapato na kuboresha huduma za kijamii kwa wananchi.

Leave a Comment