Share

Tanzania yatakiwa kutumia mkutano wa SADC kuanzisha kikosi kazi cha miundombinu.

Share This:

Tanzania imeshauriwa kutumia ushawishi na nafasi ya mwenyekiti wa SADC itakayokuwa nayo kwa kuanzisha kikosi kazi kitakachowajumuisha Mawaziri wa Fedha na miundombinu wa SADC ili kutafuta rasilimali fedha zitakazosaidia ujenzi wa miundombinu ya barabara na reli ndani ya nchi wanachama.

Leave a Comment