Share

TARURA Yatakiwa Kukarabati Barabara Zilizo Haribiwa Na Mvua Vijijini

Share This:

Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha wameiomba mamlaka ya ukarabati wa barabara za vijijini TARURA kukarabati na kujenga barabara zilizoharibiwa na mvua.

Leave a Comment