Share

TBT: Je ni jina gani la utani mlitumia kumwita mwalimu shuleni? alipo gundua je?

Share This:

Mara kadhaa wanafunzi hubandika walimu wao majina kulingana na namna wamuonavuo mwalimu huyo. Je unakumbuka mwalimu uliyempatia jina shuleni mlimwitaje?

Leave a Comment