Share

TCRA “Ni Watanzania Ml 5 tu waliosajili laini za simu kwa alama za vidole”

Share This:

Hayo yamesemwa leo na Msemaji Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Fredrick Ndaji Ntobi katika mkutano wa kuzindua kampeni ya kuwahamasisha watanzania kusajili laini zao za simu kwa alama za vidole.

Mkutano huo pia ulihudhuriwa na watoa huduma ambao ni Airtel, Halotel, Tigo, TTCL, Zantel pamoja na Vodacom ambapo wote kwa pamoja wameonganisha nguvu zao ili kuhalilisha kila mtanzania anajisajili kupitia mtandao wake kwa alama za vidole.

Leave a Comment