Share

TCRA yakutana na vyombo vya habari vya mtandaoni

Share This:

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo September 13, 2017 imekutana na vyombo vya habari na kuzungumza kuhusu namna bora ya utoaji taarifa kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni yaani Online Media.

Imesisitiza wamiliki wa vyombo hivyo kuzingatia mambo muhimu yakiwemo uchujaji wa habari, kujali faragha za watu binafsi, matumizi ya lugha na vyanzo na usambazaji wa habari na matukio.

Leave a Comment