Share

Tembo watishia maisha ya wananchi Kilolo

Share This:

Wananchi wa kijiji cha Ilindi wilayani Kilolo mkoani Iringa wamelamikia ongezeko la Tembo ambao wanaharibu mazao ya chakula na biashara ikiwemo kuua na kujeruhi watu wanaoishi kijijini hapo.

Leave a Comment