Share

Tendai Biti akamatwa akitorokea Zambia

Share This:

Kiongozi mwandamizi wa upinzani nchini Zimbabwe Tendai Biti amekamatwa wakati akijaribu kukimbilia nchi jirani ya Zambia kuomba hifadhi. Amekamatwa kwa madai ya kuchochea ghasia za matokeo ya uchaguzi ambayo upinzani unayapinga. Papo kwa Papo: 08.08.2018.

Leave a Comment