Share

“TFDA isiwe chanzo cha vikwazo katika juhudi za Rais Magufuli”

Share This:

Leo July 6, 2018 Waziri wa Afya, Maendelao ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekabithi vyeti vya ithibati kwa kiwango vha kimataifa ambapo ameitaka Mamlaka hiyo kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji nchini hususan viwanda vya kuzalisha dawa..

Leave a Comment