Share

Tiba mpya ya Ebola yaleta matumaini

Share This:

Hatimaye tiba mpya ya Ebola imefufua matumaini yaliyosubiriwa kwa muda mrefu. Wagonjwa wawili wa Ebola wamepona huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutibiwa kwa siku 11. Zaidi tazama vidio hii. #Kurunzi.

Leave a Comment