Share

Timu ya soka ya Mbilikimo Kenya

Share This:

Nchini Kenya timu ya soka ya Mbilikimo inayojiita Simba wa Kenya, inajiandaa kwa Michezo ya Dunia ya Mbilikimo itakayofanyika Julai huko Florida, Marekani.

Leave a Comment