Share

TRA kuvifungulia baadhi ya Vituo vya Mafuta ilivyovifungia DSM

Share This:

Stori kubwa ambayo inamake headlines kwenye mitandao ni kuhusu Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ kuvifungia vituo vya mafuta ambavyo havifuati utaratibu wa kutoa risiti za kielektroniki kutoka kwenye mashinde zilizofungwa moja kwa moja kwenye pump.

Leave a Comment