Share

TRA WATOA MSAMAHA WA RIBA NA ADHABU KWENYE KODI

Share This:

Leo July 11 2018 Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kixchere ametangaza msamaha wa riba na adhabu wa hadi asilimia mia moja kwenye malimbikizo ya madeni ya kodi kwa asilimia mia moja tofauti na asilimia 50 ya hapo awali

Leave a Comment