Share

TRA YATAIFISHA FUSO NA SCANIA BAADA YA KUKWEPA KULIPA MILION 50

Share This:

Mamlaka ya Mapato TRA Mkoa wa Kagera imekamata magari manne ya mizigo ambayo yalikuwa yakisafirisha mizigo hiyo kinyume na utaratibu, Meneja wa Mkoa Adam Ntoga ameeleza.

Leave a Comment