Share

TRA yatangaza Makusanyo ya kodi kwa kipindi cha miezi 9 (JULAI 2018 – MARCH 2019)

Share This:

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi Trilioni 11.96 katika kipindi cha Miezi Tisa ya Mwaka wa Fedha 2018/19 ikiwa ni kuanzia Julai 2018 hadi Machi 2019.

Katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2018/19 TRA, ilifanikiwa kukusanya Shilingi Trillioni 1.30 kwa mwezi wa Januari, Shilingi Trillioni 1.23 kwa mwezi wa Februari na kiasi cha Shilingi Trillioni 1.43 kwa mwezi wa Machi, 2019.

Leave a Comment