Share

Trump akiri kwa mara ya kwanza Urusi kuingilia uchaguzi Marekani

Share This:

Kwa mara ya kwanza, Rais Donald Trump amekiri kuwa huenda Urusi kweli iliingilia uchaguzi uliomuweka yeye madarakani, na nchini Kenya marufuku ya kutumia lugha za kikabila kwenye ujumbe mfupi wa maandishi kwenye simu (SMS) yatangazwa kuelekea uchaguzi wa Agosti 8.

Leave a Comment