Share

Trump atishia kuvurumisha makombora Syria

Share This:

Wasiwasi umetanda Umoja wa Mataifa baada ya Trump kutishia kuvurumisha makombora Syria huku Urusi ikiapa kuyadungua na kushambulia kule yatakakotokea.

Leave a Comment