Share

”Trump na Kim” wawasili nchini Singapore.

Share This:

Waigizaji wanaofanana na viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini waliwasili nchini Singapore wakitumai kuwa uhusiano wao wa karibu utaigwa na viongozi halisi wa nchi hizo.

Leave a Comment