Share

Tshisekedi ausifu ushindi wake wakati wa ziara yake Angola

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, ameusifu ushindi alioupata baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata wa rais. Akiwa katika ziara yake ya kwanza ya kigeni kama rais nchini Angola, Tshisekedi amesema licha ya dosari zilizojitokeza, kwa jumla uchaguzi ulifanyika vyema pamoja na ukabidhiaji wa madaraka.

Leave a Comment