Share

TTCL yafunguka jinsi kampuni ya Airtel ilivyouzwa kwa tsh 2000

Share This:

Kampuni ya simu (TTCL) imetaka kurudishiwa mara moja kampuni ya Airtel kwa kuwa umiliki wake si halali.

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Omar Nundu na Ofisa Mtendaji Mkuu,Waziri Kindamba wameiomba serikali kuingilia kati katika suala hilo.

Leave a Comment