Share

Tume ya Uchaguzi Congo yasema uchaguzi huenda usifanyike 2017

Share This:

Tume ya Uchaguzi ya Congo yasema uchaguzi mkuu huenda usifanyike mwaka huu. Sudan Kusini yaadhimisha miaka sita ya uhuru bila ya amani. Mwanawe Trump alikutana na wakili wa Urusi ili kupewa taarifa za kumharibia sifa Hillary Clinton. Papo kwa Papo 10.07.2017

Leave a Comment