Share

Tume ya Uchaguzi Kenya haijapokea barua ya Odinga kujitoa kwenye uchaguzi

Share This:

Tume ya Uchaguzi Kenya imesema haijapokea barua rasmi ya Odinga kujitoa kwenye uchaguzi mpya; Ripoti ya njaa duniani imesema njaa duniani imepungua kwa zaidi ya robo moja tangu mwaka 2000; na Vyama vya Hamas na Fatah vimefikia makubaliano. Papo kwa Papo 12.10.2017

Leave a Comment