Share

“Tumekamata wote walioruhusu meli kujaza na kuondoka” WAZIRI MKUU

Share This:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tayari wameshawakamata wote waliohusika kuruhusu Kivuko kujaza idadi kubwa ya watu na kuondoka kwa kuwa hawakutakiwa kuiruhusu.

Leave a Comment