Share

“Tunakubali kwenda kujinyonga?” -Zitto Kabwe

Share This:

Nakukutanisha na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe leo November 8, 2018 akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20

Leave a Comment