Share

Tunda mshangaa Hamisa, Diamond ajitetea adai ni ‘Pombe tu’

Share This:

Wakati video za faragha za Diamond na Hamisa zikiacha maswali mengi kwa baadhi ya watu, mrembo Tunda amemshangaa Hamisa Mobetto kwa kile alichokiona ila Diamond amejitetea na kudai ni Pombe tu.

Leave a Comment