Share

Tunisia yaishinda Madagascar katika robo fainali

Share This:

Licha ya kutolewa na Tunisia katika robo fainali, mashabiki wa Madagascar wanasema wamefurahishwa na hatua ambayo timu yao imepiga. Madagascar ilishiriki michuano ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza.

Leave a Comment