Share

Tupo Dar lakini hatuna maji safi, shule wala Zahanati – Wananchi Kimara

Share This:

Wananchi wa Kata ya Bonyokwa wameeleza kuwa hawajawahi pata maji safi na salama,hawana shule ya sekondari wala Zanahanati wameiomba serikali kuwasiadia ili waweze kupata mahitaji hayo.

Leave a Comment