Share

“Tutapata Miili mingi zaidi tukipindua Kivuko, tutawapima DNA” Waziri Mkuu

Share This:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miili itakayoendedelea kuopolewa kwa sasa itachukuliwa kipimo cha DNA vinasaba kwa ajili ndugu kutambua endapo ni mwili wa ndugu yao.

Leave a Comment